Mtaalamu wa mazoezi ya viungo

Mtaalamu wa mazoezi ya viungo

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Hamjambo wana JF! Naomba kama kuna mtu ana program au michoro ya namna ya kufanya mazoezi ya mwili anisaidie tafadhari.

Siwezi kwenda Gym kutokana na mazingira niliyopo nataka nifanye hapa hapa nyumbani.
 
Naweza kuja kukufanyisha mazoezi nyumbani kwako? Kukupa michoro hapa nitamaliza bandwidth.
 
Unataka mazoezi ya eneo gani la mwili?
 
Naweza kuja kukufanyisha mazoezi nyumbani kwako? Kukupa michoro hapa nitamaliza bandwidth.
Asante ndugu, mimi nipo DRC (Congo) nipo maporini kwenye migodi ndio maana nimesema mazingira niliyopo siwezi kwenda GYM
 
Kama ni binti naweza kuja tu maana nipo nami maeneo ya Cabinda!
 
I am very serious, please I beg you to be serious.

Thanks
 
Nataka mazoezi ya kupunguza mwili

mbona rahisi tu goma kula mfulilizo alafu tafuta mtu mkorofi mkope pesa ambayo uwezi kulipa wakati yy anaitaji jaribu hizi mbili kwanza ikishindikana nijulishe nikupe zingine
 
Back
Top Bottom