Inakupasa utembelee kwenye vilabu vya mchezo wa bao, zamani pale magomeni mapipa kulikuwa na klabu.Sijui kama ipo...pia pita katika matawi ya CCM mitaani huwa hawakosi wazee wanaocheza hii michezo ya bao na draft. Wao watakufafanulia sheria zote muhimu za mchezo huo,hivyo utajua wapi urekebishe app yakoNaomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda?
Mi si mchezaji wa bao lakini kuna app /Android game nimelitengeneza ambalo binadamu anacheza vs AI. Kwa sasa linatumia sheria ya uhuru wa "kulala" kwenye jumba au ukitaka unazoa jumba na kuendelea kutakata. Tazama hiyo picha, mfano nataka kutakata kuanzia chumba chenye kete mbili kuelekea kwenye jumba.
So, hapo nataka sheria ambayo inatumika sana (na wengi) ili nikipata muda nibadilishe sheria iliyopo. App bado inamapungufu mengi kwakuwa mchezo wenyewe huu unasheria nyingi na zinachanganya na kila sehemu wanakanuni zao, so napata changamoto katika kuliboresha.
Link ya Playstore.
ShukranInakupasa utembelee kwenye vilabu vya mchezo wa bao, zamani pale magomeni mapipa kulikuwa na klabu.Sijui kama ipo...pia pita katika matawi ya CCM mitaani huwa hawakosi wazee wanaocheza hii michezo ya bao na draft. Wao watakufafanulia sheria zote muhimu za mchezo huo,hivyo utajua wapi urekebishe app yako
Kwa upande wa kusini mwa tanzania hauruhusiwi kuondoka na jumba kama utatakata. Pia kuna game nyingine nacheza hapa ya bao ninayo, unakuta kwamba akitaka anafikia kula au kusafiri ambapo pia ni nje ya sheria. Nyingine jaribu kufika vijiweni wanapocheza bao hilo kila zoeana na wazee wa hapo waambie project yako watakufundisha vitu vingi mpaka baadhi ya michezo hatari ya AI.Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda?
Mi si mchezaji wa bao lakini kuna app /Android game nimelitengeneza ambalo binadamu anacheza vs AI. Kwa sasa linatumia sheria ya uhuru wa "kulala" kwenye jumba au ukitaka unazoa jumba na kuendelea kutakata. Tazama hiyo picha, mfano nataka kutakata kuanzia chumba chenye kete mbili kuelekea kwenye jumba.
So, hapo nataka sheria ambayo inatumika sana (na wengi) ili nikipata muda nibadilishe sheria iliyopo. App bado inamapungufu mengi kwakuwa mchezo wenyewe huu unasheria nyingi na zinachanganya na kila sehemu wanakanuni zao, so napata changamoto katika kuliboresha.
Link ya Playstore.
Poa poa. Nitajaribu kufuata mfumo huo, nikipata muda, kwani mwenyewe ni wa huko pia south 🙂 . Kwenye app yangu pia intentionally nimeweka aina ya ziada inaitwa bao toto, inasheria rahisi zaidi, na wala ukila hubadili mwelekeo na unaweza kuanza chumba chochote chenye kete zaidi ya moja. Hata mtoto mdogo anaweza ielewa but still ina hesabu nyingi pia.Kwa upande wa kusini mwa tanzania hauruhusiwi kuondoka na jumba kama utatakata. Pia kuna game nyingine nacheza hapa ya bao ninayo, unakuta kwamba akitaka anafikia kula au kusafiri ambapo pia ni nje ya sheria. Nyingine jaribu kufika vijiweni wanapocheza bao hilo kila zoeana na wazee wa hapo waambie project yako watakufundisha vitu vingi mpaka baadhi ya michezo hatari ya AI.
Nashauri tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app