Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsia yako tafadhaliNimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
Umesomea nini mkuuNimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
Samia : Pesa ni ngumu kuipata , na Haina thamaniUnasema pesa haina thamani au pesa ngumu kupata?