KERO Mtaani kwako kuna maji?

KERO Mtaani kwako kuna maji?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wale waliochimba visima Kigamboni na kusambazia watu pepo wataiona. Maana bila hivo DAWASA wangetutesa sana

Cc. Vincenzo Jr
Hili jambo limetuokoa watu wengi wa maeneo mbalimbali sio tu kigamboni.

Kuna siku nilikua nawaza kwanini serikali mtaa za maeneo mbali mbali wasianzishe mradi wa mtaa watu wajichangine vichimbwe visima na kusambaziwa maji

Maana huku maeneo tulipo ni wstu binafsi wamechimba ndo wanatusambazia wananchi wengine kwa malipo ya mwezi. So ni jambo linawezekana mtaa kwa mtaa kws maeneo yenye maji
 
Serikali za CCM zinachoweza ni warsha, kujengea wastaafu majumba mapya wakati wana mijumba lukuki, kununua magari mapya kila mwaka, safari za nje zisizo na tija, kuteua kutengua, lakini mambo ya maana kama kutatua kero za maji kwa wananchi hawawezi
Na kutengeneza sanamu.
 
Hili jambo limetuokoa watu wengi wa maeneo mbalimbali sio tu kigamboni.

Kuna siku nilikua nawaza kwanini serikali mtaa za maeneo mbali mbali wasianzishe mradi wa mtaa watu wajichangine vichimbwe visima na kusambaziwa maji

Maana huku maeneo tulipo ni wstu binafsi wamechimba ndo wanatusambazia wananchi wengine kwa malipo ya mwezi. So ni jambo linawezekana mtaa kwa mtaa kws maeneo yenye maji
Kabisa hili ni wazo zuri
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hivi hili tatizo la maji chanzo chake ni nini nchini! Kiasi cha kushindwa kupata solution ndani ya miaka 60 ya uhuru!

Tanzania.
 
Back
Top Bottom