issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Profile picture bila shakaAsante mtumish
Pfp ndo nini mtumish
Profile picture bila shakaAsante mtumish
Pfp ndo nini mtumish
Fataki mla nunduMimi mtaani kwangu jina langu maarufu ni Big,wengine wanapenda kuniita Natorius.
Wewe je?
Profile picAsante mtumish
Pfp ndo nini mtumish
Wewe ni mdada sio kwa kuita hukuHata hawanijui jina Zaid Zaid wananitaga WEWE mkakaa😀
Mzee wa totozKwahiyo umebadilisha mkuu na sio bonge ?
Mimi naitwa "yule jamaa mkimya"