Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Tabata jau sana huko, maji ni kizungumkuti.Wanatabata hoi dawasco wamejichukulia kombe
Acha tuTabata jau sana huko, maji ni kizungumkuti.
Wakirudisha maji wanakata umeme..😀 wakikata umeme wanarudisha maji💪🏿 yaani haya mashirika mawili mbinguni yataiona kwenye video
Wakirudisha maji wanakata umeme..😀 wakikata umeme wanarudisha maji💪🏿 yaani haya mashirika mawili mbinguni yataiona kwenye video
Tanesco unawaonea! Solution ya kuachana NAO ni solar
Poleni sana, Mjumbe. Huu uzi napeleka link yake kwenye Jukwaa La TANESCO wapo hapa watawafahamisha na DAWASAMitaa ya Kibamba mkuu. Yaani mikokoteni ya kuuza maji ina trend.
Asante kwa kuwaita@TANESCO na @DAWASA