Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Wameshamuona hana la kufanya
2. Wameshamuona ni Mbivu
3. Wameshamuona ni mpenda Raha
4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi
5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili
6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani
7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa

Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe na akakubali haraka sana huwa mnamtafsiri vipi?
 
Kwahiyo umeona Vijumbe wanafaidi sana hadi ushindwe kulala asubuhi asubuhi umekurupuka kuwaanzishia Uzi!
 
Back
Top Bottom