GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu wewe unaishi ushuani kbsa yaani.Mimi huku ninakoishi kila mtu yupo ndani ya fence. Muda kama huu wa asubuhi, ni school buses tu za njano ndiyo ziko busy kupitia wanafunzi, kuwapeleka shule.
Nimesoma mahali, eti mama yake Lucas Mwashambwa ameombwa kuwa Kijumbe wa wachekeshaji, na amekubali hilo ombi kwa mikono miwili.Kijumbe ni nini mkuu
😂 lucas hajabubujikwa na machozi ya furahaNimesoma mahali, eti mama yake Lucas Mwashambwa ameombwa kuwa Kijumbe wa wachekeshaji, na amekubali hilo ombi kwa mikono miwili.
Dah sio poaKijumbe nakopa 20k kwa Bolotoba nitume rejesho