Wew ni nani hasa kwangu hata unipangie Cha kuchangia kwenye hilo la Uchumi. Acha kejeli na kebehi, acha nizungumze kwa vile naumizwa lakini pia ni haki yangu KIKATIBA, vinginevyo kaa kimya.
Nakufananisha na MBWA MWENYE MNOFU MDOMONI ambaye kiukweli HAWEZ KUBWEKA
Acha miye ninayenyonywa niseme buanaaa