mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Mkuu mimi nimenukuu mitaani yanayosemwa, watu wamevurugwa.Mbona wao wakati wa kukamatwa hatukutangaziwa?
Vibaraza vya kahawa ndio tunabadilishana mawazo tunaoishi mjini. Na ndio kwenye sauti ya kweli ya watanzania.hadi wale wa uamsho nao ni matajiri ?
acha kukaa kwenye vibaraza vya kawaha
Achana naoMkuu mimi nimenukuu mitaani yanayosemwa, watu wamevurugwa.
Nimehangaika sana kusoma sentensi yako, lakini nilipoliona jina lako, sikushangaa. You're either a hopeless insane ama purposeful, irredeemable ignorant.Kwasababu yule umbwa aliyefukiwa kule chattle aliwaaminisha hao wa mitaani(wanyonge) kuwa kila aliyefanikiwa ni fisadi anapaswa kufungwa na kufilisiwa ili aishi kama shetani.
Inaonekana mteule anatekeleza maagizo ya boss wake! Unajua hao ni kina nani😜! Na hao wanyonge wana nini hata wakumbukwe😠! Wao wanyonge hawakugushiwa makosa! Walioonewa ni 'wenye majina yao na network 😜!Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Ndio babaako yule au mamako hajakwambiaga?Kwasababu yule umbwa aliyefukiwa kule chattle aliwaaminisha hao wa mitaani(wanyonge) kuwa kila aliyefanikiwa ni fisadi anapaswa kufungwa na kufilisiwa ili aishi kama shetani.
Serikali la kulinda vibosire sasa iko madarakani; serikali ya kula na kuwahadaa wananchi sasa iko madarakani; serikali ya maneno mengi na vitendo kiduchu sasa iko madarakani. Serikali ya kutetea ufisadi, rushwa, uhujumu-uchumi, uzembe, upigaji-dili, na ubadhirifu sasa iko madarakani. Uzalendo sasa ni suala la historia. Utetezi wa wanyonge ni historia.
Anyways, tuchape kazi tu kwa bidii maana yajayo yanafurahisha. Kama Mzee Ruksa, Mzee wa Masasi na yule wa Msoga awamu zao zilipita, basi na huyu naye ni suala la muda tu.
we mcundu kibungo hawa mabwana zako hawakufungwa utawala wa jpm.Kwasababu yule umbwa aliyefukiwa kule chattle aliwaaminisha hao wa mitaani(wanyonge) kuwa kila aliyefanikiwa ni fisadi anapaswa kufungwa na kufilisiwa ili aishi kama shetani....
Wezi na wakwepa kodi hao ndio aliwachukia! Hao unaowatetea wote wapo kundi hilo! Matajiri walipa kodi na wazalendo kama mzee Mengi (RIEP mzee) walikumbatiwa na shujaa Mh Dr JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏)!Dikteta alikuwa hapendi matajiri,,
Ye alikuwa anataka Kama ni utajiri labda wawe wasukuma wenzie,
Na ndiomaana aliweka ndani matajiri wengi, wengine Kama kina MO walitekwa kabisa
jpm azae mtoto mchelemchele kama hii sample!!!Ndio babaako yule au mamako hajakwambiaga?