Mtaani wanauliza, kwanini wanaoachiwa ni matajiri wenye kesi za ufisadi?

Ndugai anasema serikali iliyopita ilikua na mambo ya ajabu kabisa.
Ndiyo ukajifunze Kiswahili kwamba ^ajabu^ maana yake pia ni kitu chenye uzuri wa namna yake, kinachopendeza sana na kustajaabisha zaidi na chenye mvuto usio wa kawaida. In short, JPM ametutoa kimasomaso -- 5 years of unparalleled positive social, political and economic change.

^JPM kwa miaka 5 tu ametenda mambo makubwa mno ambayo mimi na wenzangu tulishindwa kuyafanya kwa miaka 40^ ~ alisikika Mstaafu mmoja hivi aliyepewa zawadi ya benzi.
 
Mwendazake aliwachukia matajiri na kuwabambikia kesi za uongo na aliahidi wataishi kama mashetani, kaja malaika anawatoa kuzimu na yeye anapelekwa huko
 
Hivi hawa matajiri walimwibia Nani?
 
Aiseee wewe unazungumza kama yanayoongelewa mtaani.
 
Delila anatenda mema kwa Wafilisti

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ndugai anasema serikali iliyopita ilikua na mambo ya ajabu kabisa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii nchi ina kero nyingi na raha nyingi....
Cha msingi tunapumua basi inatosha.
 
Jibu ni jepesi tu Mama yenu anataka matajiri waishi kama wafalme pia anataka matajiri watoke waje wafanye biashara mpate ajira
 
Waambie wavute subira na wao mafaili yao yatasomwa.

Iwapo wahusika watajiridhisha kutolewa watatolewa tu.

Waambie wazidi kuvumilia isipokuwa kama watakutwa na hatia sheria itachukua mkondo wake.
 
Baba jifunze kufuatilia vitu.

Kaangalie alisema hivyo kwaajili ya nini, hizi perepeche tafuta watu wanaozientertain.
 
Sawa watajificha kwenye skirt ya mama yako mzazi, wasije tu wakamla masaburi
 
Jibu ni kuwa maskini hawezi kufanya ufisadi na akifanya ufisadi ujue atatajirika hawezi kuwa maskini tena.
Wanaotoka ni matajiri coz ndio wanaofanya ufisadi, kesi za masikini ni kubaka, kulawiti, ulevi na ugomvi
 
Kama Zamu ya Wanyonge hawakutoka
Ngoja zamu ipite, maana maisha ni foleni
 

Wanaachiwa mafisadi-tajiri
Watoto wa wanyonge sio mafisadi wala matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…