Mtaani wanauliza, kwanini wanaoachiwa ni matajiri wenye kesi za ufisadi?

Jasmoni Tegga. Hope you are a man, any enemy of the people.
 
Kuna sheria mpya plea bargaining....unakiri kosa na kukubali kulipa kiasi fulani pesa uliokwapua.....sasa kibaka wa kuku au kubaka hana hiyo room
 
Mwendazake aliwachukia matajiri na kuwabambikia kesi za uongo na aliahidi wataishi kama mashetani, kaja malaika anawatoa kuzimu na yeye anapelekwa huko
Ni kweli mkuu naona wawekezaji wameanza kuachiwa huru.

Ameanza Seti na Sasa kafuatia Papaa Msofe

Tuwe na subira tu tutaanza kuokota hela barabarani.
 
Maskini gani alikuwa na kesi ya uhujumu uchumi? Wewe kama uliiba kuku mvua zinakuhusu
 
Baba jifunze kufuatilia vitu.

Kaangalie alisema hivyo kwaajili ya nini, hizi perepeche tafuta watu wanaozientertain.
Wewe ulimwelewa alikuwa anazungumzia kona moja tu ya jengo, lakini wenye akili na busara wanafahamu alikuwa anaongea kuhusu nyumba nzima. Pls grow up even 4 -- 5 minutes, sawa!???
 
Wewe ulimwelewa alikuwa anazungumzia kona moja tu ya jengo, lakini wenye akili na busara wanafahamu alikuwa anaongea kuhusu nyumba nzima. Pls grow up even 4 -- 5 minutes, sawa!???
Hahaha omba nafasi ya uchekeshaji kikundi cha Kashi Kashi Group kuna nafasi ipo wazi. Huwezi kua na kipaji kama hiki halafu ukeshe jf kujibizana huku haulipwi.
 
Ndio walioonewa
 
Labda wanaachiwa ila media haziwapi kipaumbele maana media nazo huwa zinaangalia habari ipi inauza.
 
Nyingi ni kesi za kubambikwa na Mwendazake.
Yule jamaa alikuwa na roho mbaya sana.
Kesi ya kubambikwa iliyoniumiza sana ni ile ya Mzee Shamte wa Mkonge Tanga, aliyekuwa Mwenyekiti wa TPSF.
Mzee huyu aliwahi kumpa ukweli Mwendazake kwenye masuala ya biashara, matokeo yake Mwendazake alimbambika kesi ya uhujumu uchumi na mzee alifia lupango.
Anyway tunalipa ubaya wetu hapahapa.
 
Fix tu hizo
 
Hao wanaouliza hayo maswali, bila shaka wamepungukiwa uelewa. Marehemu aliwahi kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi au utakatidhaji fedha haramu maskini?

Kuna mahali marehemu aluwahi kutamka kuwa atawafanya maskini waishi kama mashetani?

Kuna maskini ambao akaunti zao zilifungiwa, na hela kuporwa na marehemu?

Wanaoachiwa sasa hivi ni wale waliobambikiwa kesi na marehemu, za uhujumu uchumi na urakatishaji fedha. Ni wale ambao marehemu aliamua waishi kama mashetani.
 
Kwasababu serikali imewashikilia bila kuwapeleka mahakamani ilikuwa inasubiri tu wakubaliane na DPP ili walipe na wala haikuwa na lengo la kuwafungulia mashtaki taingia awali maana ilijua kuwa haiwezi kushinda kwakuwa washiriki wakuu kwenye upigaji walikuwa pembeni hawakuguswi na hapo ndipo ushahidi ulipokuwa mgumu. Unamfungaje Rugema na Seth bila kumtaja flani?
Usijali tumewaachia pia Masheikh wa uhamsho
 
Watu kila mara huachiwa huko magereza/mahakamani, kama hawakua maarufu huwezi kuwafahamu wala kupata habari zao, hao mnaona kama wanapendelewa sababu ni maarufu kwa hivyo kutoka kwako mmefahamishwa,

Serikali yetu haijawahi kupenda kuweka watu magerezani ndio maana wakiona mtu kesi yake haina kichwa wala miguu au ametumikia kifungo lakini ana adabu na mwenendo mzuri basi huachiwa huru.
 
Wishful thinking.
Rais Mama Samia aliamuru kesi 147 za kubambikwa na TAKUKURU zifutwe.
Akafyeka kichwa cha Mkuu wa TAKUKURU Gen Mbung'o.
Na akaiambia polisi wafanye hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…