nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Acha ujuhaSerikali ya kulinda vibosire sasa iko madarakani; serikali ya kula na kuwahadaa wananchi sasa iko madarakani; serikali ya maneno mengi na vitendo kiduchu sasa iko madarakani. Serikali ya kutetea ufisadi, rushwa, uhujumu-uchumi, uzembe, upigaji-dili, na ubadhirifu sasa iko madarakani. Uzalendo sasa ni suala la historia. Utetezi wa wanyonge ni historia.
Anyways, tuchape kazi tu kwa bidii maana yajayo yanafurahisha. Kama Mzee Ruksa, Mzee wa Masasi na yule wa Msoga awamu zao zilipita, basi na huyu naye ni suala la muda tu.
Mbavu zangu!!!Waambie muda wa matajiri kuishi kama mashetani umeisha.
Hoja hapa ni kuachi siyo kukamatwa, kwani hujui kuna watu mahabusu waliobambikiwa kesi?Mbona wao wakati wa kukamatwa hatukutangaziwa?
NdiyoHadi wale wa uamsho nao ni matajiri?
Acha kukaa kwenye vibaraza vya kawaha
Ni kwa sababu CCM ni Chama Cha MafisadiBaada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Wacha weeeAcha kuonea wivu wawekezaji
Braza, tunatawala kutokea Msoga na hii ndio Sera yetu.Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Kiimani kichwa cha Mwendazake kilikuwa cha MPINGA Kristo.Waambie muda wa matajiri kuishi kama mashetani umeisha saizi kila mtu ataishi kama watu wengine na si kama mashetani.
Kama hawakutangazwa wakati wana kamatwa unafikiri watatangazwa wakati wanaachiwa. Wapo wengi tu wameachiwaVibaraza vya kahawa ndio tunabadilishana mawazo tunaoishi mjini. Na ndio kwenye sauti ya kweli ya watanzania.
Pamoja mkuuWacha weee
Wewe ulieandika uzi huu pamoja na hao watu wako,wote hamsomi magazeti wala kufuatilia vyombo vingine vya habari,kuna sikukuu moja ya kitaifa juzijuzi hapa wametolewaBaada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Huyu Mbung'o ndiye yule mdudu arukaye anayenyonya damu za wanyama pori kule mbuga za Katavi au ni tofauti?.Wishful thinking.
Rais Mama Samia aliamuru kesi 147 za kubambikwa na TAKUKURU zifutwe.
Akafyeka kichwa cha Mkuu wa TAKUKURU Gen Mbung'o.
Na akaiambia polisi wafanye hivyo.
Tafuta pesa sheikh,pesa ndio kila kituBaada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.