OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hatuna historia hiyo,Mikia wana historia ya kutia kwapani mpira wakati wa mapumziko.Msiwatishe wasije wakagaili kuingiza timu uwanjani
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Wakachukue fedha zao kwa mganga was SumbawangaIle ya mbao alitabiri hivyo hivyo.... Hatimayee kikawakaaaa
Mtabiri ambaye ni shabiki wa simba
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Hali ya mtabiri ikoje saahizi mkuu apo Sumbawanga?.
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Nasikia amekimbilia kusikojulikana maana Mikia wanadai hela yao!!!Hali ya mtabiri ikoje saahizi mkuu apo Sumbawanga?.