Mtabiri maarufu Sumbawanga atabiri Yanga kuchezea kichapo kesho

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
 
Yanga 3 vs simba 2

Otherwise zinatoka droo
 
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Mtabiri ambaye ni shabiki wa simba
 
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
Hali ya mtabiri ikoje saahizi mkuu apo Sumbawanga?.
 
Mtabiri arudishe pesa zenu,alafu siku nyingine msirudie tena
 
Back
Top Bottom