NYATUKU JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 787 Reaction score 491 Oct 1, 2018 #21 OKW BOBAN SUNZU said: Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani Click to expand... Hahahaa huyu ni tapeli wa utabiri yako wapi sasa au ni ushabiki??
OKW BOBAN SUNZU said: Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani Click to expand... Hahahaa huyu ni tapeli wa utabiri yako wapi sasa au ni ushabiki??
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,945 Reaction score 5,733 Oct 1, 2018 #22 Wajinga hawataisha kwenye hii dunia, hivi msomi unawaamini kivp hawa malofa???
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 1, 2018 #23 Mtabiri wako kaishia wapi?
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,570 Reaction score 10,517 Oct 1, 2018 #24 Naona Yanga imekula kichapo Mikia acheni mambo ya tunguli. Chezeni mpira.