NYATUKU
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 787
- 491
Hahahaa huyu ni tapeli wa utabiri yako wapi sasa au ni ushabiki??
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani