theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Mkuu ebu nidadavulie umri wa lemutuz maana simuelewi elewiAhahahha mkuu naona ni kweli utabiri wangu wewe ni kibonge flani,umetoa colour tusione mvi ila kwa mbaali zipo nadhani.
Kumbe kweli unapenda mashati?
Kumbe ni kweli hupendi kufuga nywele kichwani mkuu?
Kumbe kweli ni muajiriwa mana nikitizama katika mewani yako naona magari mbele yamepaki kwenye kighorofa flsni hivi.
Ila yote haya ya kuleta picha kuna mtu kakufananisha na lemutuz ukaona ukane huo mfanano.
Inaonyesha wewe ni mtu mzima usiyezeeka mapema.
Tutajifunza kuishi kama wewe mkuu
Hishma kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
@General Mangi kijana mmoja mtukutu japo hajionyeshi yaani huwezi kujua kama ni mtukutu hadi ukae nae kwa muda.
Ni mhudhuriaji mzuri wa ibada ila mahubiri huwa anayaacha hapohapo anarudi mwenyewe
Ni mrefu kiasi, mwembamba japo si sana, rangi maji ya kunde ila angekuwa anajipenda sana angeng'aa zaidi sema ndio hivyo akiingia bafuni kuoga ndo kamaliza.
Anakunywa japo sio chapombe kama naniliu.
Ukiwa nae kwenye mahusiano inabidi uwe mvumilivu maana hajui kuficha ujeuri wake. Anawapenda sana ndugu zake, si muongeaji sana ila ni mtu wa utani wa hapa na pale.
Last but not least, ni mchakarikaji (of course this is given kwa sababu mtu mwenyewe ni Mangi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema tatu na usipunguze, unitumie PMOoooh!!
Nafikiri umeyasoma mandishi yangu na kung'amua kwa kiasi kikubwaa!!
Umekosea kidogo kwenye mahubiri, Mangi tangu 2008 hajawahi kwenda kanisani na hatambui uwepo wa mungu...
Mangi ni mpenda mazoezi na gym hivyo kamwili kake kamejengeka kiasi fulai, though si mnene wala mwembamba...
Mengine yote upo right 90%...
Aya nambie Heineken nazitumaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Namtafuta bebe wanguu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahahahah
Muda wote kimyaa kama hunihamu vile
Mkuu ebu nidadavulie umri wa lemutuz maana simuelewi elewi
SHOMBESHOMBE NIPO HAPA.Nataka weupe[emoji13][emoji13] umri 22-25.
Akiwa shombe shombe itapendeza zaidi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula ujana dada angu ndo kwana una 29-30.
Sijapata hadi ss wa kunitabiria
mimi siyo kama diamond [emoji23][emoji23]....@korboto ukimdanganya mwanangu nakihamisha.
Nakuham babe njoo unisimulie kitabu ulichosoma janaMuda wote kimyaa kama hunihamu vile
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sawa mangi nitakutumia kesho Heaven Sent heinken zinaizwa shngapi asije akanipunja huyu mangi teh unapomuuliza muislamu bei ya kitimotoHahahahah
Si hujapatia zote?
Mangi si mtukutu bhana, ila mangi ana kauhafidhinafidhina (conservatism)...
Ana misimamo yake ambayo km hujamzoea waweza dhani ni mjeuri au mkoloni....
Anyway nitakutumia zote, nitumue namba pm!!
Hongera
Sent using Jamii Forums mobile app