Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

.....Msomi hewa

Personal Detail

-Umri kati ya miaka 35-35
-Mfupi
-Mnene
-Anakitambi
-Anauwalaza

Hobbies

-Majungu
-Umbea
-Upashkuna

Education background

-La kwanza mpaka la Saba TANGA
-Form one mpaka form Four DAR
Hakubahatika kuendelea na shule

Currently living at Mbeya ndani ndani[emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅unajipigia upatu mwenyew..wanaume wenye uwalaza na kitambi ndo wenyewe ati😋
 
Back
Top Bottom