Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Kuna mtu atakuja kulia hapa katelekezwa na aise maana huyu mtu ana sound za dunia nzimaMkuu JF ina watu wa ajabu ajaabee
😅😅😅😅unajipigia upatu mwenyew..wanaume wenye uwalaza na kitambi ndo wenyewe ati😋.....Msomi hewa
Personal Detail
-Umri kati ya miaka 35-35
-Mfupi
-Mnene
-Anakitambi
-Anauwalaza
Hobbies
-Majungu
-Umbea
-Upashkuna
Education background
-La kwanza mpaka la Saba TANGA
-Form one mpaka form Four DAR
Hakubahatika kuendelea na shule
Currently living at Mbeya ndani ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂mtoto una ubaguzi wewe🙄
....Umeona hobbies zangu lakini?, unaziweza![emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unajipigia upatu mwenyew..wanaume wenye uwalaza na kitambi ndo wenyewe ati[emoji39]
zina mvuto na zinahamasisha..ngoja waje pm wanaotaka kukufaudu😊
...Asee, nisaidie kupiga debe! ntakurushia ya majin
zina mvuto na zinahamasisha..ngoja waje pm wanaotaka kukufaudu[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]