Mtaelewa tu!! Microsoft’s Nairobi centre, first in Africa hires 50 computer engineers

Wafungue heavy industries kama kweli wanataka kuleta maendeleo otherwise naona ni upuuzi tu Facebook, Google, sijui Microsoft havina msaada kwa wakenya wala Africa in general.
 
Hata hizo heavy industries zinahitaji kuendeshwa na uelewa wa kuzitumia kompiuta. Ndio technology ya Sasa sio watu kushikilia manyundo na misumeno Kama miaka ya hapo awali.
 
Hivi kweli watu na akili zao timamu wanajitoa ufahamu kwamba hili sio jambo kubwa? Ajira za uhakika 50-100 sio jambo kubwa?

Bado kuna watakaofaidika kwa namna moja ama nyingine ukiachilia mbali ajira. Pato la nchi, kupata teknolojia itakayoboresha uendeshaji wa makampuni, kuendeleza na kujenga uwezo wa vijana kwenye tasnia ya teknolojia ( tusisahau tunaongrlea Microsoft).

Ndio hawa jamaa ni watani zetu ila ikija kwenye mambo ya msingi tuweke utani kando.

Hujui kitu wewe, Hakuna ajira za Uhakika kwenye Corporate world, Ni miaka miwili mitatu sepa au unapigwa chini.
 
Ajira kwenye corporate world, haswa technology based zipo tena za uhakika, inategemea na ulivyo, kama wewe mvivu usiyejiongeza wala kujituma unapigwa chini, tena unatolewa nje nje bila huruma. Lazima uhakikishe kila siku kabla kwenda kulala kuna vitu walau vitano umejiongeza au kuvifahamu, unakaa mkao wa kujiongeza siku zote.
Hakikisha kampuni yenyewe ndio inakuhitaji zaidi ya unavyoihitaji,
- Kwamba ukitoka hapo unayo fursa ya kwenda kupata ajira bora kwengine,
- Kwamba ukipokeza wasifu wako kwenye kampuni yoyote, hawatasita kukuajiri

Jitume, piga darasa, tumia masaa mawili/matatu ya kusoma kila siku, kila mwezi,kila mwaka, iwe kwa mvua au jua, mwenyewe kuwa na desturi ya kujitathmini na kujitafakari binafsi, na hakikisha unatumia muda wako vizuri, haupotezi masaa.
Tumia mifumo iliyofanywa utafiti, kwa mfano mimi hutumia sana mfumo wa Pomodoro Technique ili kuhakiksha muda wangu nautumia ipasavyo na kuongeza ufanisi.
 
No wonder thenprefer setting shop in Kenya if this is the mentality tanzanians in general have, ebu wacheki paygrade na experience
 
Ajira kwenye corporate world, haswa technology based zipo tena za uhakika, inategemea na ulivyo, kama wewe mvivu usiyejiongeza wala kujituma unapigwa chini, tena unatolewa nje nje bila huruma. Lazima uhakikishe kila siku kabla kwenda kulala kuna vitu walau vitano umejiongeza au kuvifahamu, unakaa mkao wa kujiongeza siku zote.
Hakikisha kampuni yenyewe ndio inakuhitaji zaidi ya unavyoihitaji,
- Kwamba ukitoka hapo unayo fursa ya kwenda kupata ajira bora kwengine,
- Kwamba ukipokeza wasifu wako kwenye kampuni yoyote, hawatasita kukuajiri

Jitume, piga darasa, tumia masaa mawili/matatu ya kusoma kila siku, kila mwezi,kila mwaka, iwe kwa mvua au jua, mwenyewe kuwa na desturi ya kujitathmini na kujitafakari binafsi, na hakikisha unatumia muda wako vizuri, haupotezi masaa.
Tumia mifumo iliyofanywa utafiti, kwa mfano mimi hutumia sana mfumo wa Pomodoro Technique ili kuhakiksha muda wangu nautumia ipasavyo na kuongeza ufanisi.

Hukuhitaji kushea Lecture yako mzee,
Hayo unayosema ni sawa ila unasahau kuwa most of corporates offices huku Africa hufungwa si kwa sababu ya incompetence ya wafanyakazi,
Bali bussiness Returns,
Kumbuka ukiwa corporate siku zote mshahara ni mnono sana plus benefits, Hii hufanya running costs kuwa kubwa kiasi, offisi nyingi hufungwa mara nyingi na watu wengi huooteza kazi in day time,
Nakupa mifano,

-GSK walifunga operations Africa na mamia ya watu walipoteza ajira, Reason-Bussines Returns over Operational costs

-Nestlé Kenya Walifunga factory mwakajana hapo wewe ni Shahidi, Reason -Business Returns,

-Coca Cola is planning to close its offices in the entire Africa except Nigeria and SA

-Hapo subiri kina IBM, Standard Chartered na Toyota.

Nikukumbushe tu hakuna mtu anaepeta kazi corporate akazembea, Hayupo.
 
Duh! Wakenya tungekua na mawazo kama haya ya Kitanzania, hii nchi yetu ingekwama kwenye LDC, nashukuru sana kwa Ukenya, tunavyojituma na kuwa na moyo wa kupambana bila woga.
Taarifa za makampuni kufungwa sio jambo la kufanya ukose usingizi, uendeshaji wa kampuni ni kama timu ya mpira kwenye ligi, haitobaki juu siku zote, inategemea na mikakati kuanzia kwenye uongozi hadi kuja kwa kocha mpaka kwa wachezaji, kila mtu anavyojituma kwenye nafasi yake na anavyojiongeza.
Kampuni tunayoijadili kwenye huu uzi Microsoft, wameshamiri miaka yote hii na wanaendelea kutanua, wamechagua Kenya kama kitovu cha kuingia Afrika, na sio hao tu, wote akina Google na wengine hutumia Kenya, ufahamu haya sio makampuni ya kukurupuka, wanaangalia na kudadavua mambo mengi sana kabla ya kupiga hatua.
Ndio maana huwa najikuta nikikubaliana na rais wenu Magufuli kwenye kutumbua tumbua bila huruma, maana ndio lugha wanayoielewa Watanzania, vuruga tu hata wakilia kilio cha machozi hadi waamke na kujituma na kuacha uwoga woga na kujiamini, tatizo la rais wenu anayafanya yote kwa kutumia hisia, sio maamuzi yanayoongozwa kisayansi, kwa mfano kumfuta mtu kazi kisa kamuita kwenye hotuba zake za kisiasa na kugundua hayupo, hataki kujua sababu za huyo mtu kutokuwepo hapo, inawezekana haa yupo chooni, ile unamuita kwenye kipaza sauti halafu unapigia mkuu wake na kuagiza afutwe, hapo kuna kasoro kubwa sana kiungozi.

Watanzania huwa mnakwenda kwa kusukumwa, wengi mna vijisababu, ooh mara kampuni inaweza ikafungwa, ooh mara hiki ooh mara kile, mpo mpo tu, hapo leo hii fanya utafiti wa Watanzania wengi, utakuta asilimia kubwa ya mlioajiriwa mkishtukizwa na kuulizwa maswali ya msingi kuhusu makampuni yenu utakuta mpo weupe, leo hii mshtukize hapo Mtanzania yeyote hata meneja tu muulize akutajie bila kusoma sehemu dira na dhamira, tunu, misingi mikuu, historia ya kampuni, utashangaa alivyo mweupe, yeye yupo yupo ilmradi siku zinaenda.

Halafu mnashangaa kwanini makampuni ya Kibongo huwafuata Wakenya, unakuta yapo radhi kutumia nguvu nyingi sana kumtafuta Mkenya au Mhindi yakiacha mamilioni ya Watanzania. Japo serikali yenu inakazia kwa kuendeshwa na chuki, mfano hai ni lile tukio la dada yetu alipoteuliwa na Voda, serikali ilmkataa kwa chuki tu wala haikuzingatia usayansi wowote.
 
Tatizo unaandika insha, Andika tu kwa ufupi,
Kenya pia ni nchi ya Ulimwengu wa Tatu. Nimesoma sentensi ya Kwanza tu.
 
Tatizo sio kwmba ni insha, ila ni ile changamoto ya Watanzania kuzembea likija suala la kusoma, ndio maana huwa mnaliwa sana mikataba iaandikwa hamsomi, mnaomba wapi wa kutia saini basi.

Hamna kitu cha ovyoo kama ufanye kazi ya kuandika ripoti ukitegemea itasomwa na Watanzania, utaandika ripoti kurasa 200 na hakuna atakayesoma hata kurasa ya kwanza, halafu baada ya kama wiki moja unaomba kikao mjadili ile rasimu uliyowapa, yaani unashangaa hakuna aliyejishughulisha, mnapenda kusoma soma magazeti ya umbea, lakini likija kwenye chochote kinachohitaji matumizi ya ubongo, mnapiga chenga.
Anyway haijalishi hata kama unasoma sentensi ya kwanza, cha msingi nimeandika nilichotaka kusema na wapo watu wanasoma na kuelewa, maana mlengwa sio mtu mmoja kwenye hii mitandao ya kijamii.
 
Kama abstract ni Mbovu obviously na kilichoandikwa humo ni kibovu pia, No need Kusoma
 
Tatizo hamsomi hata hiyo abstract kujua kama mbovu au la, mpo mpo tu....hehehe
 
Kama abstract ni Mbovu obviously na kilichoandikwa humo ni kibovu pia, No need Kusoma
Kuweni watu wa kujituma, sio story za vijiweni tu kisha tukishawashinda mambo mengi mnasema data za kupikwa
 
Wafungue heavy industries kama kweli wanataka kuleta maendeleo otherwise naona ni upuuzi tu Facebook, Google, sijui Microsoft havina msaada kwa wakenya wala Africa in general.
Viwanda vinaendelea kufunguliwa kila uchao, kwanza kwenye sekta ya magari yanayotengenezewa Kenya ukanda huu wote hamna wa kutuambia kitu. Hizi habari ni kuhusu Microsoft na sio kibahati bahati ujue. Ujuzi kwenye nyanja hiyo ya IT ndio unavutia wawekezaji. Miaka inavozidi kusonga ndio Kenya inaendelea kuwaacha nyuma. Ule mpango wenu wa kutafuta usaidizi kwenye masuala ya IT kutoka Rwanda uliishia wapi. Yaani Rwanda ndio walimu wenu, Rwanda!
 
Viwanda vinaendelea kufunguliwa kila uchao, kwanza kwenye sekta ya magari yanayotengenezewa Kenya ukanda huu wote hamna wa kutuambia kitu. Hizi habari ni kuhusu Microsoft na sio kibahati bahati ujue. Ujuzi kwenye nyanja hiyo ya IT ndio unavutia wawekezaji. Miaka inavozidi kusonga ndio Kenya inaendelea kuwaacha nyuma. Ule mpango wenu wa kutafuta usaidizi kwenye masuala ya IT kutoka Rwanda uliishia wapi. Yaani Rwanda ndi walimu wenu, Rwanda!

Nilishangaa sana rais analazimika kufuata wataalam Rwanda....hawa jamaa ndio maana wamekua ranked the laziest people in the world.
 
Alafu wanaishia tu kwenye majungu na kuponda juhudi za wenzao. Utasikia wakiita Rwanda mkoa wa Tanzania, lakini ukilinganisha uwezo wa IT wa hako kamkoa na mkoa mwingine kama Kagera utapata ni x10000.
 
Back
Top Bottom