Mtafaruku kati ya La Liga na serikali wafikia pabaya, ligi yapigwa marufuku

Mtafaruku kati ya La Liga na serikali wafikia pabaya, ligi yapigwa marufuku

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Ule mtafaruku kati ya Shirikisho la ligi Uhispania na serikali kuhusu ugavi wa mapato ya hati miliki ya kurusha matangazo umepelekea La liga kupigwa marufuku kuanzia tarehe 16/05. Tujiandae kui-miss La liga
 
Ule mtafaruku kati ya Shirikisho la ligi Uhispania na serikali kuhusu ugavi wa mapato ya hati miliki ya kurusha matangazo umepelekea La liga kupigwa marufuku kuanzia tarehe 16/05. Tujiandae kui-miss La liga


Hizi habari ni rumours tu, hakuna mtu yeyote aliethibisha kama ni kweli. Itakuwa upuuzi wasimamishe ligi ambayo kila timu imebakiza mechi tatu kumaliza msimu. Hata hivyo nafikiri hawawezi kuisimamisha kwasababu kila kitu kinakwenda na FIFA time table.
 
nigeria nakumbuka ilishawahi kupigwa ban baada ya serikali kuingilia mambo ya mpira kwa taarifa kwamb mambo ya mpira fifa ndio itamalizana nayo, kwani hii ya huko spain imekaaje?
 
Hizi habari ni rumours tu, hakuna mtu yeyote aliethibisha kama ni kweli. Itakuwa upuuzi wasimamishe ligi ambayo kila timu imebakiza mechi tatu kumaliza msimu. Hata hivyo nafikiri hawawezi kuisimamisha kwasababu kila kitu kinakwenda na FIFA time table.

Nimesoma BBC
 
Kwa mwaka wa pili mfululizo ktk historia nina uhakika fainali itahusisha la liga ktk uefa champs ligi hapo tarehe 6 juni jijini Berlin nchini Ujerumani,yaani el clasico,timu bora duniani zenye wchezaji bora duniani yaani Barca vs Real Madrid,leo Juve anachapwa 3 kwenda mbele na Real Madrid,la liga ni ligi bora ukiikosa jimalize,kuanzia mwaka 2011 mpk leo 2015 la liga inaingiza timu 2 semi final ktk uefa champs ligi,sambamba na hilo ktk uefa alhamisi almarufu uefa ndogo europa ligi Sevilla ana nafasi kubwa ya kutetea tena ubingwa wake,viva la liga.
 
Spain’s High Court announced today that it will
decide tomorrow if it will provisionally suspend
all domestic football competitions from Saturday
16 May after a lengthy hearing in which lawyers
from the Spanish Footballers’ Association (AFE)
and the Professional Football League (LFP)
presented their arguments, the latter being the
first to submit their case.

In their presentation, the LFP insisted in the
illegality of the strike called by the AFE and
accused the organization of devising “a
ceremony of confusion” by separately serving
notice of the strike action to three bodies: the
Interconfederal Mediation and Arbitration
Service (SIMA), the LFP and the lawyers. The
League claimed that the notification arrived at
their headquarters on Sunday 10 May, despite
the fact that the RFEF had announced
suspension of domestic league competition on 6
May. “We believe that the strike is abusive as it
has been called on matchdays which cannot be
rescheduled”, they concluded.

In response, the AFE’s lawyer Iván López
clarified that the strike had been announced on
10 May at 18:00 hours and that SIMA’s
involvement was merely to act as mediators.
They also explained that there were flaws in the
solicitude of preliminary measures and cited
Article 732 of the Civil Procedure Rules which
states that whoever seeks an injunction must
provide a security bond - around five million
euros.

LFP President Javier Tebas estimated that losses
of around 50 million euros would be suffered
per matchday if the strike goes ahead while AFE
President Luis Rubiales countered: “The support
from the players is unanimous but some clubs
are putting pressure on them. Our lawyers
picked apart the LFP’s arguments to show that
this strike is legal. We congratulate the clubs
who are not pressurizing their playing staff and
congratulate the players for remaining united”,
he said.
 
Back
Top Bottom