Mtahiniwa akipata "f" hesabu necta anapigwa faini.

Hiyo penati si halali,ni nje ya kumi na nane.Angalau wangempa div 2.
 

Pole mkuuu
 


Kweli MKUU
 

maoni yako yanashabihiana na muda/ majira ulipoyatoa?
kwa nini hesabu zinaachwa kipindi hicho?
 
Je. Nilichopost ni uongo? kwa maana ya context and not words?
Watahiniwa wanaofeli hesabu hawapati adhabu? Tujadili muktadha na sio makosa madogo.
Nashukuru kunikosoa.

hahaha! halafu kuna jamaa kanifumbua macho. matokeo ya f4 2013 tayari?
ukitujibu hapo tutaendelea kuchangia
 
Mathematics (Hisabati) Inaongeza uwezo wa kufikiri na pia lazima tuitumie kila siku kwenye maisha Yetu ...walau ikisomwa na kila mtu na kila mwanafunzi wa o level akizingatia pana life skill anayoiongeza ...iendele tu kuwepo penati ili walio Makini wapate kile kilichokusudiwa.
 
Mh...hainiingii akilini... yaani uwe na A ya Physics halafu upate F ya basic MATHS....
 
O level hakuna" divinity" kuna bible knowledge napata mashaka
 
kumbuka miaka hiyo walikuwa wanaiba paper kinoma,otherwise ni uongo uliotukuka

lazima hupate faini tena nikiwa waziri wa elimu naweka penati ya pesa taslimu ili tununue vitabu
 
Ni kweli math ni ugonjwa wa taifa zima hli somo wanfunzi wengi hawalipendi sijui ni kwasababu bi nafsi me hli somo nlipenda ila huwa lna nipiga chenga na mmi najaribu kupambana nlo hdi mwisho wa lyfu yngu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…