Mtahiniwa akipata "f" hesabu necta anapigwa faini.

Mtahiniwa akipata "f" hesabu necta anapigwa faini.

Hiyo penati si halali,ni nje ya kumi na nane.Angalau wangempa div 2.
 
Nachangia kama Mwathirika wa Tatizo nilipiga paper 2003 nikawa na pointi 20 yaani division 2 na Comb. POINT 7 Yaani Eng.Science (PHYSICS) A,BIOLOGY C, CHEMISTRY C, Math. Kwa bahati mbaya nikawa na "F" wakanipenati hadi division 3 ,nikapata post ya Primary school Teacher, iki ki2 sitasahau Untill 2 die.

Pole mkuuu
 
Nahisi huyu jamaa atakuwa yeye mwenyewe ndiyo alifanya mtihani ana wasiwasi na matokeo yake sasa anajaribu kudodosa kiaina.Taarifa zake hazina ukweli kwa sababu:
1.Kwanza mitihani ya kidato cha nne 2013 sasa ndiyo wana sahihisha,na hata labda wakawa wamemaliza hayajawa tayari kwa kiwango hicho.
2.Hajatuambia ni wapi ameyaona matokeo hayo kwani mpaka sasa bado ni siri.
3.Wanafunzi wa kidato cha nne hawafanyi somo la Divinity.
4.Kimantiki,hata alama alizo weka hapo ni za walakini,
Hivyo taarifa zake hazina ukweli kwa maoni yangu mimi


Kweli MKUU
 
umetoa hayo maoni kwa kuwa ni muhanga (hisia), mtaalamu wa Elimu, au kwa kuwa ni asubuhi.
Nashauri Hesabu isomwe kama somo hapa A - Level, kwa kuwa kuna watu wanaacha Hesabu pindi tu wanapoingia kidato cha Tatu, yaani, wapo tayari kufeli Kidato cha Nne.

maoni yako yanashabihiana na muda/ majira ulipoyatoa?
kwa nini hesabu zinaachwa kipindi hicho?
 
Je. Nilichopost ni uongo? kwa maana ya context and not words?
Watahiniwa wanaofeli hesabu hawapati adhabu? Tujadili muktadha na sio makosa madogo.
Nashukuru kunikosoa.

hahaha! halafu kuna jamaa kanifumbua macho. matokeo ya f4 2013 tayari?
ukitujibu hapo tutaendelea kuchangia
 
Mathematics (Hisabati) Inaongeza uwezo wa kufikiri na pia lazima tuitumie kila siku kwenye maisha Yetu ...walau ikisomwa na kila mtu na kila mwanafunzi wa o level akizingatia pana life skill anayoiongeza ...iendele tu kuwepo penati ili walio Makini wapate kile kilichokusudiwa.
 
Nachangia kama Mwathirika wa Tatizo nilipiga paper 2003 nikawa na pointi 20 yaani division 2 na Comb. POINT 7 Yaani Eng.Science (PHYSICS) A,BIOLOGY C, CHEMISTRY C, Math. Kwa bahati mbaya nikawa na "F" wakanipenati hadi division 3 ,nikapata post ya Primary school Teacher, iki ki2 sitasahau Untill 2 die.
Mh...hainiingii akilini... yaani uwe na A ya Physics halafu upate F ya basic MATHS....
 
O level hakuna" divinity" kuna bible knowledge napata mashaka
 
Ni kweli math ni ugonjwa wa taifa zima hli somo wanfunzi wengi hawalipendi sijui ni kwasababu bi nafsi me hli somo nlipenda ila huwa lna nipiga chenga na mmi najaribu kupambana nlo hdi mwisho wa lyfu yngu
 
Back
Top Bottom