The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ok it is good 👍 to here
Jenerali Robert MbomaGT
Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu.
Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
View attachment 3492260
OkJenerali Robert Mboma
Naona linamuunganisha na Gaguti kwenye uchafu wakeLabda Mimi nitaje wa ovyo...Mkunda
Yaa exactly1. Mirisho Sarakikya CdF wa kwanza, msomi wa Sandhurst
2. Davis Mwamunyange
3. Robert Mboma
Hawa ndio waliongiza professionals wengi jeshini na kulifanya kuwa la kisasa angalau
Mabeyo alikosa nafasi ya kuingia katika vitabu vya historia. Angechukua nchi kwa miezi sita kisha akaitisha uchaguzi tukapata rais halali. Sasa mlokole wa kikatoliki anajifanya eti kufuata katiba kumbe katiba yenyewe ni kijitabu tu.Kwangu Mimi Bora kuliko wote ni ambaye atatuondolea Hawa walafi atakua Bora Kwa Sasa na vizazi vinavyokuja
Kijitabu du hovyo kabisaMabeyo alikosa nafasi ya kuingia katika vitabu vya historia. Angechukua nchi kwa miezi sita kisha akaitisha uchaguzi tukapata rais halali. Sasa mlokole wa kikatoliki anajifanya eti kufuata katiba kumbe katiba yenyewe ni kijitabu tu.
Mabeyo alaumiwe yeye na kizazi chake kwa mateso yote tunayopitia leo hasa sisi Watanganyika!
View attachment 3492302