Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sote tunaishi kitaa humo pia tuko na wenzetu ambao pia wanawakilisha vizuri pande hizi za jf.marafiki wa ukweli na Ni muda wa kuwapa ma shout out ya nguvu.me mwenyewe binafsi nawapa salute wafuatao na uzuri wote wapo JF japo kwa ID tofauti na majina Yao ninayoyajua
1.ticha, stopper,chabamba, Hussein white wote Ni wanangu kutokea Riverside ubungo bila nyie sijui ningekuwa Nani kwenye hili jiji.
2.magufuli,chikoyo,mfweje,mwanamfyale,bibii wote wanangu kutokea makoka na wote Hawa tupo nao jf
3.mbonde,makala..wahuni flani kutokea kimara salute kwenu najua post hii mtaipitia
4.kichwa,dust,mafactor wanangu wa k koo.maujanja supplier unit
5.harid kutokea barakuda
6.mshua kutokea pande za Micasa unajijua
7.mapacha wa tabata kimanga nawakubali hamkwami
8.mwanangu mwenyewe blood sad kutokea kiwalani humu jf unakimbiza Sana
Ujumbe:mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Sema Nini dakika ya mwisho kabisa itakuwa sio yante nikikusahau braza Tyson pande za mbezi.nakuona ona kwenye thread ya walevi unavyofanya mambo sema dakika ya mwisho furesh!amini
 
Nipo Serengeti hapa, muda mfupi uliopita nilipishana na huyu chui! Aisee nilitimua mbio kinyama.
Bangi ina raha yake ukivuta [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20190121_142844.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom