Dah! Ngoja niendelee kutafuta pesa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] achana na huo mpango
[emoji23] hilo ni la maana zaidi. Ukizipata nigaieDah! Ngoja niendelee kutafuta pesa [emoji4][emoji4][emoji4]
Usihofu,,, mara nyingi nikitoa pesa ndio napata pesa [emoji56][emoji23] hilo ni la maana zaidi. Ukizipata nigaie
Ndivyo ilivyoUsihofu,,, mara nyingi nikitoa pesa ndio napata pesa [emoji56]
[emoji849][emoji849] manengelo njoo Kuna kesi
πππππ
Mimi na Asprin wapi na wapi kwa mfano!!!
Hilo janga la Rombo nilipeleke wapi mimi. Muda wote anatetemeka, hana hata nguvu.
Kabla sijakutandika viboko hebu sema ndio nini hicho?π€π€πππ
samaani ww xio oil chafu..hii ni picha nagraduate std 7 miaka hyo ww hujazaliwaKabla sijakutandika viboko hebu sema ndio nini hicho?
Weeeeeh!! Wakati huo nahitimu kdt cha4 ujue. We katoto ka jana tu.samaani ww xio oil chafu..hii ni picha nagraduate std 7 miaka hyo ww hujazaliwa
Weeeeeh!! Wakati huo nahitimu kdt cha4 ujue. We katoto ka jana tu.
Huh!! Kumbe huwa unahisi mimi mtoto mwenzio!!!!!ππππnakufa mm
Huh!! Kumbe huwa unahisi mimi mtoto mwenzio!!!!!
Salute kwako mzee wa YOMBO TEMEKE