Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nipotezee safari tena. Kwanza ngoja nikupigie simu tumalizie hiyo kazi ya watu pamoja. Pesa kutafuna muhimu[emoji23][emoji23].
Wewe ni hendisam toka kitambo yaani. Tena Bonge la HB.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Bonge la hausi boi tena?....niskukamate
 
Watu wakiona hiyo avatar yako wanaweza kufikiri kuwa wewe siyo demu mkali na wakaacha kuja pm kumbe ukute wewe ni mkali kama kawa!Haya mambo ya avatar bhana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji107][emoji107][emoji107] mie km kawa nakureport kwa sky
 
Back
Top Bottom