Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamaniKabla sijakutandika viboko hebu sema ndio nini hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamaniKabla sijakutandika viboko hebu sema ndio nini hicho?
Hahaha hahaha hahahaHarakaharaka hivi si nitakuja nilie kama nimefiwa?
Bonge la hausi boi tena?....niskukamate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nipotezee safari tena. Kwanza ngoja nikupigie simu tumalizie hiyo kazi ya watu pamoja. Pesa kutafuna muhimu[emoji23][emoji23].
Wewe ni hendisam toka kitambo yaani. Tena Bonge la HB.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Babu pia itapendezaHutaki kuwa na rafiki babu?
Chizi kweli😂😂😂😂😂njoo nikamate.Bonge la hausi boi tena?....niskukamate
Ewaaa.... sasa hebu njoo PM tuutengeneze urafiki kiroho safi kabisaBabu pia itapendeza
Atanihadithia mengi ya enzi hizo enz za mkoloni [emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu nikitoa siri utanilaumu?😂😂😂mwenzako nipo kwrnye menopause nw
Kumbe ndio umeingia, hebu niamkie haraka.[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzako nipo kwrnye menopause nw
Babu karibu mangararumo.We ringia tu huyo chura wako wa kichina...
Ma spyHahaha, Uko makini eh?! Unaweza ukategeka kwenye hayo maswali.
Kitimoto tafazaliBabu karibu mangararumo.
Kumbe ndio umeingia, hebu niamkie haraka.
😂😂😂toaaaAfu nikitoa siri utanilaumu?
Meno yenyewe huna.Kitimoto tafazali
Astaghafurulilah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji107][emoji107][emoji107] mie km kawa nakureport kwa sky
Watu wakiona hiyo avatar yako wanaweza kufikiri kuwa wewe siyo demu mkali na wakaacha kuja pm kumbe ukute wewe ni mkali kama kawa!Haya mambo ya avatar bhana!!
Sijawahi kukung'ata?Meno yenyewe huna.