Hahahaa sawaaa halafu toka ile siku ujue nikaingia kwenye maombi na mfungo sijanywa tena mpaka leo
Nimeilewa sana mamaShunie umeona lakini huo wimbo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimempa tu woning' ndugu yangu. Na alivyo chizi mapenzi anaweza akadata huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalifahamu hilo unataka kuchonga mzinga anakuacha kwenye mataa upambane na hali yako
Ndiwoooo ikiganda huwa hainogiUjue ile mishkaki ya nundu inafaa kuliwa ikiwa ya motomoto....?
Ukiiacha ipoe yale mafuta yanaganda...[emoji39]
Katoto ndizi maini yaani sotojo tojo
Go gaga go gaga fanya kama unataka usivunje chaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ntunzu baby na mm nakusaidia kuimba
Anakuacha upambane na hali yako huku wewe umekuwa chizi fresh
Hongera yako. Mimi niliendelea na kuendelea. Nilikua nasomewa mashtaka yangu leo ya kumkimbia Mr. Handsome [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa sawaaa halafu toka ile siku ujue nikaingia kwenye maombi na mfungo sijanywa tena mpaka leo
Hahahahaaa... ndugu yangu usiguse baby daddyWow!!
Sijui tuingie studio tupige kolabo kabisa...
Ila Mzigua90 atawanga....atasema kaa mbali na Ngabu.
Damn it!!!
Mr handsome yule wa kwenye mishkaki auHongera yako. Mimi niliendelea na kuendelea. Nilikua nasomewa mashtaka yangu leo ya kumkimbia Mr. Handsome [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
@Nyani Ngabu halafu ujue kweli Shunie anakuogopa? Eti utamtafuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nakuogopa achana na wanga wa mzigua
Mr handsome yule wa kwenye mishkaki au
Hahhahaha ana haki ya kukuweka kati hivi ujue ghafla tu umemkimbia mwenyewe nilishangaaEeeeh Yule wa pili kabla baby namba 3 hajaja.
Yule nilietaka kumzingua dada ake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nakuogopa achana na wanga wa mzigua
Huyo nahisigi ana kizizi ujue sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah napapenda hapo ila sasa naanzajeUnaniogopea nini wakati mimi ni joka la Kibisa...
Sing’ati. Sikabi.
Kwa ufupi sina madhara yoyote.
Ijumaa njoo hapo tupunge upepo mwanana wa bahari ya Hindi....[emoji23]
View attachment 1003091View attachment 1003092View attachment 1003093
Hahhahaha ana haki ya kukuweka kati hivi ujue ghafla tu umemkimbia mwenyewe nilishangaa