Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Katoto ndizi maini yaani sotojo tojo
Go gaga go gaga fanya kama unataka usivunje chaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ntunzu baby na mm nakusaidia kuimba

Wow!!

Sijui tuingie studio tupige kolabo kabisa...

Ila Mzigua90 atawanga....atasema kaa mbali na Ngabu.

Damn it!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nakuogopa achana na wanga wa mzigua

Unaniogopea nini wakati mimi ni joka la Kibisa...

Sing’ati. Sikabi.

Kwa ufupi sina madhara yoyote.

Ijumaa njoo hapo tupunge upepo mwanana wa bahari ya Hindi....😂

124F6CD9-DEC5-48C5-ADBE-B207C085F085.jpeg
9DF651FA-8B6A-4F27-A8ED-B6337A63F843.jpeg
3B46C239-D8F0-454B-8B58-699444BC9503.jpeg
 
Back
Top Bottom