Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Naamini yaani naamini hamjakulanaKwa hiyo unaamini sijamkula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini yaani naamini hamjakulanaKwa hiyo unaamini sijamkula?
Khaaaaa Mzigua90 ebu njoo uyasikie huku jamani joburg ya wapi hii tena insta babe usinifanyie hivi ujue mwisho wa siku usije ukanikimbiaukitoka joburg nistue insta babe tukatafune...maana leo nimeona posta yako upo kwa flight to joburg [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahah sio mbaya lakini ulivyoongea na vingineOoh....basi kumbe nimeongea kuliko nilivyopaswa [emoji85][emoji85]
Dokta aliniambia huwezi kuniletea hivi hivi. Mpaka nikamuonyesha chat ndio akatulia kidogo japo anasema bado hana imani na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sema hii raba ni konkiiiiView attachment 1003117
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaa Mzigua90 ebu njoo uyasikie huku jamani joburg ya wapi hii tena insta babe usinifanyie hivi ujue mwisho wa siku usije ukanikimbia
Ndiwoooo si ndio ukaniambia
Ebana eeeh!! Kumbe hadi Dokta hana imani na mimi??? Gademu mimi Ngabu.
Komredi Asprin hebu njoo huku aisee...
Halafu ujue nini Baby Mama, kile kibegi kilikuwa kimejaa lakini baadaye nikaamua kupunguza vilivyokuwemo kwa sababu kama hiyo hiyo ya Dokta. Nilijistukia tu mwenyewe nikasema ‘I’m doing too much’. Nikaishia kugawa vingine kwa wengine.
Eeeh. Ila ijumaa vile vijiwe viwili vihusikeNdiwoooo si ndio ukaniambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta babe ushaanza kujikana kama kawaida yakoKhaaaaa Mzigua90 ebu njoo uyasikie huku jamani joburg ya wapi hii tena insta babe usinifanyie hivi ujue mwisho wa siku usije ukanikimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Joberg ya mtaani kwako itakua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ushanielewa nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini shemeji yangu kipenziSasa unagawaje vitu vyangu lakini baby daddy? Dokta avumilie tu hana jinsi (ukute anasoma) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwili tena wapi na wapi kama ilivyokuwa mwanzo au
Sasa unagawaje vitu vyangu lakini baby daddy? Dokta avumilie tu hana jinsi (ukute anasoma) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa joberg ya mtaani kwangu sasa hivi imekuwa office za shigongo yaan insta babe wangu sijui ananionaga nani mm siku ya siku anikimbie tu anianzishie thread nipambanane nayo Jimmie Gatsby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta babe ushaanza kujikana kama kawaida yako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtu mzito sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa joberg ya mtaani kwangu sasa hivi imekuwa office za shigongo yaan insta babe wangu sijui ananionaga nani mm siku ya siku anikimbie tu anianzishie thread nipambanane nayo Jimmie Gatsby
Kile cha kwanza haladu kile cha pili tumeenda kumalizia usiku. Hivi unajua tumetoka pale P anasema twende Tips? Nikamwambia usinitanie nipeleke nikalale mimiViwili tena wapi na wapi kama ilivyokuwa mwanzo au