Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani


Ebana eeeh!! Kumbe hadi Dokta hana imani na mimi??? Gademu mimi Ngabu.

Komredi Asprin hebu njoo huku aisee...

Halafu ujue nini Baby Mama, kile kibegi kilikuwa kimejaa lakini baadaye nikaamua kupunguza vilivyokuwemo kwa sababu kama hiyo hiyo ya Dokta. Nilijistukia tu mwenyewe nikasema ‘I’m doing too much’. Nikaishia kugawa vingine kwa wengine.
 
Sasa unagawaje vitu vyangu lakini baby daddy? Dokta avumilie tu hana jinsi (ukute anasoma) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joberg ya mtaani kwako itakua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ushanielewa nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa joberg ya mtaani kwangu sasa hivi imekuwa office za shigongo yaan insta babe wangu sijui ananionaga nani mm siku ya siku anikimbie tu anianzishie thread nipambanane nayo Jimmie Gatsby
 
Raha ya JF ni kule kuwa unknown..
Yaani humu yupo hadi anko magu
Yupo bashite
Yupo manne
Yupo ndugai
Yupo siri hii
.....wanatuchora tu bila kuwajua.
Unaweza ukakuta me ndo bashite...hiwezi jua

Cha kichekesha zaidi ni..unaweza kumtongoza baba yako akiamini ndo demu mkali wa kwenye avatar yake..
JF RAHA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa joberg ya mtaani kwangu sasa hivi imekuwa office za shigongo yaan insta babe wangu sijui ananionaga nani mm siku ya siku anikimbie tu anianzishie thread nipambanane nayo Jimmie Gatsby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtu mzito sana ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…