Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Si ajabu ndo maana ulichomoa kuja CTFM wewe 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah niamke nianze kutafuta nguo mpaka niipate nitakayoipenda sio leo nenda tu mama
aaaaaah nimwambie tena? yule ukisikia mtekaji ni mtekaji kweli ujue insta babe [emoji23][emoji23][emoji23]Eeenh sasa si umwambie lakini
Dah niamke nianze kutafuta nguo mpaka niipate nitakayoipenda sio leo nenda tu mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaaaah nimwambie tena? yule ukisikia mtekaji ni mtekaji kweli ujue insta babe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu ndo maana ulichomoa kuja CTFM wewe [emoji1]
Ile ya kuvaa nikishinda ndani tuSi uvae tu ile chui chui...
insta babe kwan umesahau nipo chini ya uangalizi.... [emoji23][emoji23]nimebadilika mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiboko yako kabisa au upo na mchepuko unajua atakuharibia
Ile ya kuvaa nikishinda ndani tu
Hahhaha hapa na wasiwasi wewe insta babe upo sehemu sio salamawinsta babe kwan umesahau nipo chini ya uangalizi.... [emoji23][emoji23]nimebadilika mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha Ngabu bwanaDah!
Kama hiyo ndo ya kushindia ndani sipati Picha za kwendea sehemu kama CTFM zitakuwaje [emoji91]
hahaha... ukifatilia thread zake anahangaika sana kurudia umaarufu alioupata kwa ID yake ya hr666 iliyokula ban ya maisha ila anashindwa