Hahhaha kwahiyo hutaki hata kunisikia kwenye simuMama muinjili bwana, mie nalala ujue
Feel free here I am.Bado Sina
I wish nipate Marafiki wengi hapa kaka na dada wanaojitambua
Hasa kaka b'se natamani Sana kuwa na kaka jmn
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteeeeFeel free here I am.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mambo bebe rafikiBabe rafiki hi![emoji1672][emoji1672][emoji1672]
Mambo bebe rafiki
Mkuu!Bangi bei rahisi sana.
Sielewi kwanini kitu kinachoweza kukupeleka jela maisha eti kinauzwa 300.
Hubby hao wote ni jinsia moja sasa wewe hapo unataka kucheza redy?
Umenitenga?