Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Babu vipi? Haya nitumie Zawadi ya birthday[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaunga tela, sio mbaya lkn anipe tu zawadi yangu
Sijaunga tela bana. Hicho ndicho kiinglish pekee nachokijua chini ya jua
 
😂😂😂 alafu nimemix madesa..was sky hahaha espy akija hapaaa🐽🐽
Unalo leo. Lakini hujakosea sana. Nimeshachepuka nako. Tulishindwana kwa sababu ya tabia yake ya kukojoa kitamdani
 
dadek zako, namba yangu siunayo!
Dadeki zako plus[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namba ninayo ndiyo ..ila siku hizi unapita getini kwangu kama vile haujui naishi hapo.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Dadeki zako plus[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namba ninayo ndiyo ..ila siku hizi unapita getini kwangu kama vile haujui naishi hapo.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
We tk kweli, nikija hapo jamaa yako si anajifanyaga yuko serious sjuw anafkir mi naww tna mahusiano gani, ushamba tu!
 
Sote tunaishi kitaa humo pia tuko na wenzetu ambao pia wanawakilisha vizuri pande hizi za jf.marafiki wa ukweli na Ni muda wa kuwapa ma shout out ya nguvu.me mwenyewe binafsi nawapa salute wafuatao na uzuri wote wapo JF japo kwa ID tofauti na majina Yao ninayoyajua
1.ticha, stopper,chabamba, Hussein white wote Ni wanangu kutokea Riverside ubungo bila nyie sijui ningekuwa Nani kwenye hili jiji.
2.magufuli,chikoyo,mfweje,mwanamfyale,bibii wote wanangu kutokea makoka na wote Hawa tupo nao jf
3.mbonde,makala..wahuni flani kutokea kimara salute kwenu najua post hii mtaipitia
4.kichwa,dust,mafactor wanangu wa k koo.maujanja supplier unit
5.harid kutokea barakuda
6.mshua kutokea pande za Micasa unajijua
7.mapacha wa tabata kimanga nawakubali hamkwami
8.mwanangu mwenyewe blood sad kutokea kiwalani humu jf unakimbiza Sana
Ujumbe:mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hahaha, mnataka kuwa kidnapping? mamboya kujuana vipi kwani? jf member are great thinkers, don't take them for granted!!
 
Back
Top Bottom