Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Poa tu.Hahhaha babu unnaitafuta nini lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa tu.Hahhaha babu unnaitafuta nini lakini
Umesahau mchezo wa "baba na mama"?Hubby hao wote ni jinsia moja sasa wewe hapo unataka kucheza redy?
Katekista alishaukataza kwenye mafundishoUmesahau mchezo wa "baba na mama"?
Padre si alitubariki?Katekista alishaukataza kwenye mafundisho
Abee
Hahaha hahaha hahahaHubby hao wote ni jinsia moja sasa wewe hapo unataka kucheza redy?
Nimekuita hapo shunie rafiki yangu wa mtaani halafu nimekumiss ujueAbee
Sakayo unasemaje eti
300 wapi? Huku kwetu ni bukuBangi bei rahisi sana.
Sielewi kwanini kitu kinachoweza kukupeleka jela maisha eti kinauzwa 300.
Sakayo banaNimekuita hapo shunie rafiki yangu wa mtaani halafu nimekumiss ujue
Mie niliona mmoja tuu kwenye mwendokasiNashindwaga kuelewa watu wa humu wapo dunia gani..mitaa yote nayoishi haina mtumiaji wa hii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sakayo bana
Mie tangu lini wa mtaani kwenu eti
Huku niliko ni 100300 wapi? Huku kwetu ni buku
Weee usiniambie! Inawezelana zinatofautiana ujazoHuku niliko ni 100
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeamua kunikana sasa nionekane muongo si eti