Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Condom anatumia bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyani Ngabu kama nimtag mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wewe wewe wewe.....ukim tag huyo ‘mtu’ ntakunyonga.

Hahahaaa hivi huwa mnaambiana kila kitu eeh?

Shenzy nyie [emoji1787]
Yani sisi tunaambiana kila kitu. No secrets No Lies Cc ......

Sent using Jamii Forums mobile app
Wavuta bangi nyie...
Nimekuja bila kutagiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiuno laini...chuchu dodo dodo

Kitovuni kipini....mtoto jojo jojo

Avae dera kimini....nyumba rojo rojo

Duh! Najiimbia tu hapa mi kibabu cha Kinyantuzu [emoji1]
Katoto ndizi maini yaani sotojo tojo
Go gaga go gaga fanya kama unataga usivunje chaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ntunzu baby na mm nakusaidia kuimba
 
Back
Top Bottom