Mtaje mchezaji ambaye hujawahi kumuona akicheza ili wakongwe wakuchambulie sifa zake

Joined
Nov 18, 2022
Posts
41
Reaction score
115
Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake.

Mimi sijawahi kumuona George Magere Masatu akicheza, naombeni mnitajie uwezo wake maana yupi hyped sana
 
Ingawa sio mrefu sana kwa beki ila alikuwa mzuri wa vichwa..., sifa yake kubwa (ilishatokea mara kadhaa) ya kuokoa goli kwenye line kwa kutumia tiki taka...., yaani mnadhani mshafungwa ila mnashangaa ametokea wapi na kuokoa ule mpira...., na kwa urafiki wake wa karibu na Masha nadhani alionekana mfupi zaidi kuliko kimo chake (mara nyingi walikuwa pamoja)
 
Back
Top Bottom