Four-Star General
Member
- Nov 18, 2022
- 41
- 115
Gibson Sembuli.Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake.
Mimi sijawahi kumuona George Magere Masatu akicheza, naombeni mnitajie uwezo wake maana yupi hyped sana
Dah mgosi nae hujamuona mkuu ..Mgosi
Ni Jela MtagwaGerry Mtagwa
Okay! Haya nipe info zake mkuuNi Jela Mtagwa
Gaga control za hatari,mashuti haswa,Kuna siku alichana nyavu uhuru,kipaji haswa,mnyumbulifuMbona kama hii ni trap,mkuu unataka kujua umri wa watu humu.
Anyway Hamisi Thobias Gaga'
Sijawahi kumuona huyo namskia tuOkay! Haya nipe info zake mkuu
Huyu na mavumbi omary wa Simba ni wafanya fujo wa pande zote mbili,Buti za kutoshaSalum Kabunda Ninja
Ingawa sio mrefu sana kwa beki ila alikuwa mzuri wa vichwa..., sifa yake kubwa (ilishatokea mara kadhaa) ya kuokoa goli kwenye line kwa kutumia tiki taka...., yaani mnadhani mshafungwa ila mnashangaa ametokea wapi na kuokoa ule mpira...., na kwa urafiki wake wa karibu na Masha nadhani alionekana mfupi zaidi kuliko kimo chake (mara nyingi walikuwa pamoja)Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake.
Mimi sijawahi kumuona George Magere Masatu akicheza, naombeni mnitajie uwezo wake maana yupi hyped sana