Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari anayotembelea,elimu yake,picha yake and so far..lakini unashindwa kumuuliza direct kwa sababu sio vizuri
 
Hilo ni kweli kabisa aisee. Kuna mrembo mmoja humu tulikuja kujuana sasa ile process ya kuja kujuana humu mpaka kesho nikikumbuka huwa bado natabasamu kwa jinsi alivyo muoga na kabla hatujafahamiana alidhani nimetumwa na mume wake kumfuatilia 😂😂😂😂😂😂ila ni bomba sana, muungwana na mstaarabu sana pia yuko vizuri sana na tuliwahi kuwa majirani na mimi nilikuwa nawafahamu kwao wote na tulisoma shule moja ya msingi na yeye ndiye muasisi wa kuitana “jirani” hapa jamvini.

Humu kuna watu wapo juu...kuna vitu mtu aliniambia pm yani mpk kesho huwa nacheka mwnyw [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom