Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

Cocochanel naomba kukujua kwa undani zaidi.

Mimi yangu yamo humu humu JF.. saka nyuzi.. ila usiamini kila usomalo humu.. mimi pia ni expert kwenye kupindisha pindisha yangu.. eeeeh.. naweza pindisha uongo kwa 0.05% tu na ukaamini na ya kweli nikayaandika ukafikiri uongo kwa 99.95%

Bado upo tayari kunijua?

Moja unijue ni kwamba mimi pia ni mshabiki mkubwa humu wa utawala wa awamu hii ya JPM.. humu na kwa maishani nikimuongelea utajua tu.. bado kuonana nae nikamuamkia na bonge la smile.

Pili.... eeeeeeh nimemaliza.
 
Tena ukipindisha kidogo ndiyo itakuwa rahisi kwangu mimi kukujua vizuri na kwa undani zaidi. Naomba nikuahidi kwamba mwaka huu hauishi ntakuwa nimeshakujua vizuri.
 
Back
Top Bottom