ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ooh.well Nathamini sana.je ingependeza nikwambie hapahapa au tukutane PM?
We unajua me nakaa wapi?Wote nawajua maisha yao kiundani
Yaani nakujua kiundani halafu nisijue hata unakaa wapiWe unajua me nakaa wapi?
Sema Haki ya MUNGUWote nawajua maisha yao kiundani
niazime mkeka mimi[emoji3]Ngoja nikakalie kigoda vizuri nirudi kusoma
Humu kuna watu wapo juu...kuna vitu mtu aliniambia pm yani mpk kesho huwa nacheka mwnyw [emoji23][emoji23][emoji23]