dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
wala hata usijali...najua zitakua ni story tu [emoji3][emoji3]
sawa...uje na chupa ya kahawa tusichoke kupiga story dada [emoji6]Za ukweli haswa na kukuvutia ushangilie lori lake bila kuchoka.. [emoji3]
sawa...uje na chupa ya kahawa tusichoke kupiga story dada [emoji6]
nesi [emoji2]Nije tena!!! [emoji3]
Oyooo Daktari au Nesi au Mfamasia wewe?
Mmh kujua maisha tena hapana bwana
Ila kuna member mmoja humu natamani kujua status yake ya mahusiano nimsabahi kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
I think madame b only sio muoga
Halafu wangejua tulivyo simple hata wasingetuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
nesi [emoji2]
Cocochanel naomba kukujua kwa undani zaidi.Hilo cheko 🤔🤔🤔😁
Cocochanel naomba kukujua kwa undani zaidi.
Mimi yangu yamo humu humu JF.. saka nyuzi.. ila usiamini kila usomalo humu.. mimi pia ni expert kwenye kupindisha pindisha yangu.. eeeeh.. naweza pindisha uongo kwa 0.05% tu na ukaamini na ya kweli nikayaandika ukafikiri uongo kwa 99.95%
Bado upo tayari kunijua?
Moja unijue ni kwamba mimi pia ni mshabiki mkubwa humu wa utawala wa awamu hii ya JPM.. humu na kwa maishani nikimuongelea utajua tu.. bado kuonana nae nikamuamkia na bonge la smile.
Pili.... eeeeeeh nimemaliza.
Tena ukipindisha kidogo ndiyo itakuwa rahisi kwangu mimi kukujua vizuri na kwa undani zaidi. Naomba nikiahidi kwamba mwaka huu hauishi ntakuwa nimeshakujua vizuri.
Tena ukipindisha kidogo ndiyo itakuwa rahisi kwangu mimi kukujua vizuri na kwa undani zaidi. Naomba nikiahidi kwamba mwaka huu hauishi ntakuwa nimeshakujua vizuri.
Naam ntakuja! Tena napenda ile organic food ambayo iko raw bila kupikwa kabisa.🤣🤣🤣
Tuombe uzima.. usisahau kuja huku kijijini ule kabisa na organic food bila kuchoka.
Anhaa maadam umeniambia ntaiweka kesho nikirudi mjini, halafu ntaku-tag.Ile avatar yako usingeipotezea.. 😁
Nimekuja Mtu mwenye shoo zake za kibabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii