Mi nataka nikufaham kuanzia A - ZSubiri nijiunge na Chama cha JPM nikamsaidie kwenye hapa kazi tu.. utanijua eeeeeeh
Babake mtoto mzuri
Babake mtoto mzuri
Hutaki kumfahamu mutu?!
Nani huyo unataka kumfahamu etiHaha napenda kumfahamu/kufahamiana na mtu ila kumjua mtu inahitaji majadiliano ya kina kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio umegoma nisikujue? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliotaka kuwafahamu nimefanikiwa kwa asilimia 100.
Wengine tustorishe tuu jukwaani humu!
Hahaha hahahaMimi ndio umegoma nisikujue? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapo naomba nikufahamu alafu nikujue pia kama inawezekanaNani huyo unataka kumfahamu eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha
Wewe hilo jina lilinitisha bana! Ningeshakufahamu
Babake mtoto mzuri kunifahamu saivi ni ngumu sana!
Hahaha sawa mremboBabake mtoto mzuri kunifahamu saivi ni ngumu sana!
Asante sana jamanii!
Sio story tu wao wanasema ni real storywala hata usijali...najua zitakua ni story tu [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi najuana na member mmoja humu kiundaniNaomba nikujue kwa undani ndugu mwana jamvi.
Wote nawajua maisha yao kiundani
Una wake watatu huna hata baiskeli sembuse gari..
Mmh kujua maisha tena hapana bwana
Ila kuna member mmoja humu natamani kujua status yake ya mahusiano nimsabahi kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app