The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
- Thread starter
-
- #101
Popo bana kuna mahala nlifikaga alitusaidia sana maana palikuwa pana mbu balaa na hatuna neti, na madirisha yapo wazi (hakuna finishing), ebana yule popo alikuwa anasubiri tuumwe na mbuu then anakuja anazururazurura tuu mule anatoka zake, nkamuuliza mwenzangu huyu popo vipi katumwa nini, akaniambia anakuja kula mbu. Na ni kweli, alikuwa akija akipiga round zake kadhaa mule akitoka husikii mbu hta mmoja, had baada ya muda wakiingia tena. Popo naskia anakula mbu kama hana akili😄Kuna huyu kiumbe anaitwa popo sijui ni ndege wa wapi huyu ananyonyesha, anatisha kinoma
Loh hapana😀Na kupendeza kote kule😅😅
Toa sababu, kwanini unamuua??Unaniuliza kwa nini namuua nyoka!? Au na wewe ni mmoja wao nikuponde kichwa? Waheed
Hapana, hata kwetu hatujawahi kuwa na pakaUna fuga?
Akiingia anga zangu namsambaratisha kbsaMm sipnd ata kumuona
Niliona Jose mla vichwa anayala huko YouTube lakn Ile video yake sikuweza kuitazama kbs kbs yaanKonokono ni chakula mkuu
Huyo simjui, yupojePia Kuna Yule Club wa kwenye minazi....aiseee
Wakati ww hupendi au unaogopa wengine ndo furaha yao, Haya mambo hushangaza Sana.
Dahh, nashkuru kwa matusi🙏Mleta mada kama wewe ni wa kiume basi ni HASARA TUPU
Noma sana mkuu 😁🤭Kinyonga