Mtaje msanii yeyote wa Hip Hop anayetokea Zanzibar

Mtaje msanii yeyote wa Hip Hop anayetokea Zanzibar

Master J kaa chini nikupe skendo,
Karafuu zangu mwenyewe kuzisarifisha naambiwa magendo 🎶 🎵 🎶

Hiyo iweke kwenye rafudhi ya kipemba. Ndio hip hop ya Zanzibar
🤓🤓 nimecheka sana aiseee.
 
Hata wakiimba hip hop ngumu kiasi gani kwa ile rafudhi yao ya kipemba na unguja wanakua kama wanaimba taarabu tuu
 
Back
Top Bottom