Mkuu bora hata huyo ISIS akiandika wallah kamaliza ila huyu kima Magonjwa Mtaumbuka namchukia.Kuna wadudu wawili ISIS na Magonjwa Mtambuka ni wakupiga viboko na makonde ya vichwa. Hawa aliewaroga na CCM yao alishakufa zamani.
Hapo[emoji182][emoji182][emoji182][emoji119][emoji119]Hapana, nilitaka kukutaja vice versa. Yaani ninaowapenda zaidi humu JF.
Kuna wadudu wawili ISIS na Magonjwa Mtambuka ni wakupiga viboko na makonde ya vichwa. Hawa aliewaroga na CCM yao alishakufa zamani.
Mkuu bora hata huyo ISIS akiandika wallah kamaliza ila huyu kima Magonjwa Mtaumbuka namchukia.
Hapana Nakupenda wewe
Hebu tuma screen munch moja, kutoa ushahidi wako kama mimi na ISIS tumewahi kuwa kama unavyosema.Duh
Wewe ndio ulikuwa unajipendekeza kwa ISIS wakati wote, imekuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuma screen munch moja, kutoa ushahidi wako kama mimi na ISIS tumewahi kuwa kama unavyosema.
Naogopa ku like hii comment japo 'nimeielewa'ISIS , cocochanel , FaizaFoxy jingalao @ Magonjwa mtambuka , @ pohamba , YEHODAYA ,@ The notorios idiot Known as barbarosa mjingamimi ,John the babtist , mapopoma na walamba miguu wengine wanaolipwa buku 7 ili kumsifia mpumbavu Magufuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nondo , vichwa maji bana .Wewe hujawahi kuwa na point ya maana , msukule wa lumumba
Sent using Jamii Forums mobile app