Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mkuu bora hata huyo ISIS akiandika wallah kamaliza ila huyu kima Magonjwa Mtaumbuka namchukia.Kuna wadudu wawili ISIS na Magonjwa Mtambuka ni wakupiga viboko na makonde ya vichwa. Hawa aliewaroga na CCM yao alishakufa zamani.