Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mzee wa chura
Umemsahau Magonjwa mtambukaKuna majitu ya CCM yana roho mbaya sana.
Barbosa anaongoza, Kipara Kipya, Jingalao, Yehodova, mleta mada na wenzao wote wanaolipwa kuja kutetea upuuzi wa CCM humu.
Umemsahau Magonjwa mtambuka
Asingekuwepogi ndio lugha ya wapi hii?Kuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
huyo shetani huwa namuomba Mungu amtwange hata na treni afie mbali huko!! Mwanaharamu kabisa yule!Umemsahau Magonjwa mtambuka
kwenye list muongeze na STROKE.Kuna majitu ya CCM yana roho mbaya sana.
Barbosa anaongoza, Kipara Kipya, Jingalao, Yehodova, mleta mada na wenzao wote wanaolipwa kuja kutetea upuuzi wa CCM humu.
naomba nisiwe mimi tafwazari
Una uwezo lakini?au ndo kutafutiana kesi.skia me nimeshindikana ukija na mapigo yako unayo copy kwenye movie utaumia dogoNdege John kwanini tusitafutane tupigane maana nina chuki zaidi kwako.